Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

nimekoma insta babe... nasitisha rasmi operation kitambi kwanza umri umeshaenda six packs za nn mimi...

naendelea kupiga vitu vyangu tu [emoji23]
Hahhahah kumbe ulikua unatengeneza six packs umempata mbebez mpya nn amekudanganya anataka kukuona ka six packs
 
Hahhahah kumbe ulikua unatengeneza six packs umempata mbebez mpya nn amekudanganya anataka kukuona ka six packs
ahahaha... hamna niliona tu nikienda swimmin bro bro bro nyingi kisa kifrij akati me umri bado kabisa ndio kwanza nimetoka kucheza serengiti boys juzi juzi tu
 
Back
Top Bottom