Hahaha hahahaHahaha pasha kichwa siwezi msahau jamani na mambo zake woiiiii
Jamani dadaHahaha ebu uko
Hahaha hahahaWewe tena mama mjeda
Dada vumiliaaa... Zisi mansi ai wiki bii zeaKeki yangu
Sio bureeAnaumwa huyuuu...
Na wewe ukakazia etiHahahah ww huoni alichosema ebu kamsome uko
Umeshamkimbiza mwenyewe nampendaga tu mm ana uchizi mwingi sana cc Certified Hater [emoji847][emoji847][emoji847]Atarudi banaa
Muite akujeeeUmeshamkimbiza mwenyewe nampendaga tu mm ana uchizi mwingi sana cc Certified Hater [emoji847][emoji847][emoji847]
Hahaha hahaha hahahaNaona yupo kwakweli namuonaga insta uko akilikes vitu
Eehh!! Nshasemaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hvyoooNakujua mm ukianza kudai
Kuonana lazimaaaaaaaWacha weeeh kwahiyo tutaonana eeenh kula mishkaki
Hahaha hahaha hahahHahahah msalimie upambane na malalamiko yake ya mkewe
Muitee.... Mfuate pm hebuUmemkimbiza bwana harudi tena mjeda wangu