Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada vumiliaaa... Zisi mansi ai wiki bii zea
[emoji3][emoji3][emoji3]bibi wee...hebu niache ntakuja thanaa tuuu!!!!
Nshazoea halafu ujueNakuonea huruma ujue na kijijini kwako
HahahahaHahahahah ila jana shem bebe wangu kapita job ananiambia niliogopa kuja kukusalimia nilikua nae najua hutaki kumuona nikamwambia tena ningekununia bora ulivyoniona haujapita
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahah ww ni chizi jamani ila dudu tamu jamani
Zawadi imeshahama tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha hahahaEbu uko pm tena atakuja tu
Hahaha hahaha hahaha
Nakujaaaa... Lazima tumitiiHaya ngoja nasubiri...sasa unichomeshe mahindi sasa!thread inakuhusu
Akuje tuu jamaniHahahaha kweli
mwanzo lazima umbwele mbwele, afterward umemzoea, mama mama mamaaa dunia utahisi yako wii, ila hapo kwenye uhuni itategemea na wewe ulimtakaje if its about his pocket 😂 😂 😂 then uwe tayari, kama ku settle sasa ndo unaanza zile dont dwell in that comfort zone. wapende tu .wifi ako mimi jaman nilijambia mbele mimi mwee😂😂😂Hahaha ebu tuambie wii mm hawa watu nawapenda lakini nawaogopa sana kutokana na mambo zao tatizo wahuni sana