Happy Birthday Sakayo

manenoo hayo, unakuja na usafiri gani nijue nakupokeaje kiroho safi tu
Big toys za wanaume wa ngerengere shem
Mhh kweli big toys ndo mnafanyaga low pass kututishia, kwann mnatutishia na kodi zetu? zile ni dk 5 hakuna hata raha ya safari sasa[emoji23][emoji23]
tunafanya safari ili tufike sio vingine bwashee
Big toys ndio nini eti [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Ila Ali we mstaarabu sana yaani sana jamani jana nilikupenda bure ulivyojishusha kwa yule mwenye stress
Ni kweli dada, binafsi sipendi kukwaruzana na mtu. Yule ni miongoni mwa rafiki zangu nilimtania tu ila bahati mbaya hakuwa katika mood ya utani na akashindwa kuhimili stress zake. Kibinaadamu ndio inavyotakiwa, ukihisi mtu umemkosea huna budi kujishusha na kumuomba msamaha hapo hapo. Nashukuru sana kwa kunielewa.
 
Pole sana jamanii
 
Wapi huko eti
[emoji16]Ndio kwanza siku ya pili toka birthday unataka kuangalia umbea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Niliona pole mno
 
[emoji16]Ndio kwanza siku ya pili toka birthday unataka kuangalia umbea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Ulipo nipo mimi jamaniii, labda kwa kuchelewa tuu, bora sikuona ningelia mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…