Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manenoo hayo, unakuja na usafiri gani nijue nakupokeaje kiroho safi tu
Big toys za wanaume wa ngerengere shem
Mhh kweli big toys ndo mnafanyaga low pass kututishia, kwann mnatutishia na kodi zetu? zile ni dk 5 hakuna hata raha ya safari sasa[emoji23][emoji23]
Big toys ndio nini eti [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]tunafanya safari ili tufike sio vingine bwashee
Nasubiria jibuBig toys ndio nini eti [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha hahahaWakikujibu uniite
Wapi huko etiIla Ali we mstaarabu sana yaani sana jamani jana nilikupenda bure ulivyojishusha kwa yule mwenye stress
Au farasi etiNawaza tu sijui mavifaru sijui manini
Ni kweli dada, binafsi sipendi kukwaruzana na mtu. Yule ni miongoni mwa rafiki zangu nilimtania tu ila bahati mbaya hakuwa katika mood ya utani na akashindwa kuhimili stress zake. Kibinaadamu ndio inavyotakiwa, ukihisi mtu umemkosea huna budi kujishusha na kumuomba msamaha hapo hapo. Nashukuru sana kwa kunielewa.Ila Ali we mstaarabu sana yaani sana jamani jana nilikupenda bure ulivyojishusha kwa yule mwenye stress
Pole sana jamaniiNi kweli dada, binafsi sipendi kukwaruzana na mtu. Yule ni miongoni mwa rafiki zangu nilimtania tu ila bahati mbaya hakuwa katika mood ya utani na akashindwa kuhimili stress zake. Kibinaadamu ndio inavyotakiwa, ukihisi mtu umemkosea huna budi kujishusha na kumuomba msamaha hapo hapo. Nashukuru sana kwa kunielewa.
[emoji16]Ndio kwanza siku ya pili toka birthday unataka kuangalia umbea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Wapi huko eti
Ahsante[emoji120][emoji120][emoji120]Pole sana jamanii
Niliona pole mnoNi kweli dada, binafsi sipendi kukwaruzana na mtu. Yule ni miongoni mwa rafiki zangu nilimtania tu ila bahati mbaya hakuwa katika mood ya utani na akashindwa kuhimili stress zake. Kibinaadamu ndio inavyotakiwa, ukihisi mtu umemkosea huna budi kujishusha na kumuomba msamaha hapo hapo. Nashukuru sana kwa kunielewa.
Ahsante[emoji120][emoji120][emoji120]Niliona pole mno
Ulipo nipo mimi jamaniii, labda kwa kuchelewa tuu, bora sikuona ningelia mimi[emoji16]Ndio kwanza siku ya pili toka birthday unataka kuangalia umbea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]