Na kifo kinakaribia
Tabu kwel kweli
Jamani msiongee habari za kifo naogopa mmUmenikumbusha wiki ilopita nilikuwa hospital ile nimekaa nusu saa ukapita mwili ambao wagonjwa baadhi walisema huyu kaingia humu theatre akiwa anatembea mwenyewe lakini ona kashavuta
Niliwaza vingi sana muda ule
yaani kadri kunavyokucha ndivyo siku za kuwa hapa zinapungua!!!
Hahahaha kifo kinatisha sanaJamani msiongee habari za kifo naogopa mm
Kachukue zawadi ya dada yako basi..Ebu weka picha kaka angu kipenzi
Uuuwiii em hukooo😂yule vepeeeMimi huyu namjua nani tena [emoji134] au yule aliyenifata pm kukuulizia habari zako
Sanaaa jamani yaani Mungu atupe mwisho mwema tu
Hiv unataka mambo ya jeshi yadiskasiwe humu? iyo PM yako inakazi gani kwani?Ebu weka picha kaka angu kipenzi
Naomba pichaYapo ngerengere kule morogoro mausafir yao ni dk 5 tu
Hahaha hahaha hahahaMimi huyu namjua nani tena [emoji134] au yule aliyenifata pm kukuulizia habari zako
Ndo uniambieNani huyo jamani
Unigawie jamaniUmeanza mm uongo sipendi jamani zawadi ninayopokea za mpesa tu no unayo tuma