Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Na kifo kinakaribia

Tabu kwel kweli
Umenikumbusha wiki ilopita nilikuwa hospital ile nimekaa nusu saa ukapita mwili ambao wagonjwa baadhi walisema huyu kaingia humu theatre akiwa anatembea mwenyewe lakini ona kashavuta

Niliwaza vingi sana muda ule

yaani kadri kunavyokucha ndivyo siku za kuwa hapa zinapungua!!!
Jamani msiongee habari za kifo naogopa mm
 
Back
Top Bottom