Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Mtumie banaNamtumia mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumie banaNamtumia mm
Huku IST huku Kluger..[emoji3][emoji3]MPesa inaweza kubeba IST???
SeriousMalaika wanakuona...
HahahaaUsiseme hivyo jamani
NdiwoooMPesa inaweza kubeba IST???
@ShunieLeta namba pm bwana nitakunyimaje mimi
EeeehhhAkinipa ruhusa mimi naweka hapa..
Hahahaha yaani ww
Wewe unazingua banaHuku IST huku Kluger..[emoji3][emoji3]
Shunie atatangulia nayoWewe unazingua bana
no mkuu siwezi.. kichwa changu chepesi mno.. Pombe hazinifai maana nakua muongeaji sana wakati sio tabia yanguSasa kesho yake ulitakiwa ukazie 3 tena...
Yaani ni kama vile kuanza zoezi tuu
Hahahaa...no mkuu siwezi.. kichwa changu chepesi mno.. Pombe hazinifai maana nakua muongeaji sana wakati sio tabia yangu
Niweke..Eeeehhh
Pole babu...ila wewe si mchepuko wa kudumu..[emoji3]Lord have mercy!!!
Mungu anisaidie kwakweli na hii curiosity yangu,napenda kujali sana vitu nione vikoje naomba tu nisifike hapo maana nadhani nitakua chiziHahahaa...
Beer 2 Unakuwa muongeaji...
Sasa ukipiga cha Arusha..? [emoji3][emoji3]
Usiogope mkuu..Mungu anisaidie kwakweli na hii curiosity yangu,napenda kujali sana vitu nione vikoje naomba tu nisifike hapo maana nadhani nitakua chizi
My rule. Hua siathiriwi na Msukumo kutoka nje ya mwili wangu. nitafanya hivyo kama nitakua nimeamua, ila kwa sasa nopeUsiogope mkuu..
Kapige 2 tuu leo uone.