Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua wala kakanguAu nimekosea kunukuu hiyo lugha
Kwa kweli amsamehe tuu jamani
Thank you my love!Happy Birthday.. May the Dear God Almighty give you many more happy returns of the day. Stay blessed
😂😂😂😂 nimecheka lol.Bando lenyewe mpk tufike gugo jamani,hatutendei hakiii huyu Dada!
Uwiiiii
Mmmh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulikuwa kama mm dada
Hahaha hahahaHuyo aloandika ana fine haki tenaaa
Baada ya hii mikataba nitakupeleka mpaka kiwandani iwe rahis kuleta bidhaaSijajua wala kakangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]bora kafanya hvyooo... Bando shida ,mambo magumuu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka lol.
Ila nimeona kuna Post nyingine akarudi kwa kiswahili nadhani ile ndio ilikuwa Post inayotuhusu sisi japo nimecheka mwishoni kaandika "zawadi napokea kwa ile namba ya voda"
Nikasema lol. hahahaaaaa.
Sema ukweli jamaniiSawa sakayo
Hapana mpk kekiHahaha hahaha
Msamehe jamani dada
Msamehe banaHahhahaha mnanifurahisha