Mwisho wake na sisi tutakuwa single aunt vya kurithi vibaya ila huyu babe wangu wa pili eti hataki kushareKunisingizia nasema mwisho mwaka huu, mwakani msinisingizie tena!!
Mie niko single.
Hahahaaaaa!!! Niache jamani, nishacheka mpaka basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NAWADHARAU
Ahahahhh ila nimecheka sanaHahahaaaaa!!! Niache jamani, nishacheka mpaka basi.
Na nahisi hiyo comment ilikuwa ndeeefu na miherufi mikubwa. Huwa nazipuuza nyuzi zake ila unakuta umeitwa inabidi urespond. Wengi wameshamdharau kama yeye anavyodharau watu.Me nilishasema nyuzi zake siingii kuna nilicomment tu kawaida kuwa kuwa huh uzi naudharau kuingia kumbe una mambo hivi nikaja kuquotiwa eti nina wivu jaman
MNAFIKI SANA WEWE UPOOO!!Hahahaha
ACHA UNAFIKI WEWEEE.... UNA WIVU SAAANA NA...... NAKUDHARAUU[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Mweeeeh!!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mwisho wake na sisi tutakuwa single aunt vya kurithi vibaya ila huyu babe wangu wa pili eti hataki kushare
Ahahahh ila yule mtu hapana jamaan bora tu nikufwe na utamu wangu kuliko kuwa na mpenzi sampuli ileNa nahisi hiyo comment ilikuwa ndeeefu na miherufi mikubwa. Huwa nazipuuza nyuzi zake ila unakuta umeitwa inabidi urespond. Wengi wameshamdharau kama yeye anavyodharau watu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]MNAFIKI SANA WEWE UPOOO!!
NIMEKUDHARAUU PTUUU!!
Aunt nini tena jamanMweeeeh!!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Happy womb escape mama la mama.Sakayo wangu [emoji8][emoji8][emoji8] niseme ninii mimi asante jf kwa kunipa rafiki mwema kwangu nakupenda zaidi ya jana na hata milele Yesu wetu azidi kukulinda na kukuweka [emoji120] mbona uzee umeshafika
Asprin nilimpa jukumu la kuendeleza kuchunga kondoo wasipotee, kazi niliyompa naona inamshinda, ngoja nirudi kushika kijiti.....missing you guys alot, dada sakayo atakuletea keki nimempa hela nimechangiaAmeen baba paroko tunamiss uwepo wako jaman
AiseeeAsprin nilimpa jukumu la kuendeleza kuchunga kondoo wasipotee, kazi niliyompa naona inamshinda, ngoja nirudi kushika kijiti.....missing you guys alot, dada sakayo atakuletea keki nimempa hela nimechangia
Hahahhaaha dada sakayo, vipi halafu una kesi kubwa sana, adhabu yako ni kumpa shunie keki yake, mpesa imesoma halafu unabana dada wewe noma sanaAiseee
Paroko Mungu anakuona
Mie ni muoga saana wa kesi baba paroko...Hahahhaaha dada sakayo, vipi halafu una kesi kubwa sana, adhabu yako ni kumpa shunie keki yake, mpesa imesoma halafu unabana dada wewe noma sana
Asante sana T wa dada [emoji120][emoji7] ubarikiwe sana nawapenda sasa hiyo zawadi kwa nini isiwe mpesa jamanHappy womb escape mama la mama.
One of my best friends ! Toka enzi zile unipokee kule jukwaani..[emoji3]
Pili, ukamleta Dada...huku na huku tukawa ndugu. Asante kwa kwa yote Shunie.
Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha.
Nilikuwa porini kidogo , ila nikija mjini nakuja na Zawadi.
MmhHiyo ptuuu inaniachaga njia pandaaa...
Naona kule pamekucha... Ngoja nikachukue popcorn..
Asante sana baba paroko sakayo hiyo hela naomba unitumieAsprin nilimpa jukumu la kuendeleza kuchunga kondoo wasipotee, kazi niliyompa naona inamshinda, ngoja nirudi kushika kijiti.....missing you guys alot, dada sakayo atakuletea keki nimempa hela nimechangia
Nitumie hiyo hela yanguAiseee
Paroko Mungu anakuona