Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Hoping sijachelewa kukutakia hbd mdogo wake na Sakayo ,Shunie , Mungu akujalie rehema uishi kwa mapenzi yake.😂😂😂😂😂.
Since 2017 daaaah.
 
Hoping sijachelewa kukutakia hbd mdogo wake na Sakayo ,Shunie , Mungu akujalie rehema uishi kwa mapenzi yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Since 2017 daaaah.
Aimen aimennn!!

Ulikuwa unafukua makaburiii ya nini eti jamani!
 
Aimen aimennn!!

Ulikuwa unafukua makaburiii ya nini eti jamani!
😂😂😂😂 sijafukua eti, nimelikuta tu lipo wazi lenyewe sijui nani kalifukua, mi nimelichungulia tu likiwa wazi my princess.
Ila kiukweli uko na mantic, mpangilio na mtiririko mzuri sana kwenye uandishi wako👏👏👏 au uliwai pitia lile darasa la art of creative writing.
Morning.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijafukua eti, nimelikuta tu lipo wazi lenyewe sijui nani kalifukua, mi nimelichungulia tu likiwa wazi my princess.
Ila kiukweli uko na mantic, mpangilio na mtiririko mzuri sana kwenye uandishi wako[emoji122][emoji122][emoji122] au uliwai pitia lile darasa la art of creative writing.
Morning.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunisifia uongo aki my dear!!!

Morning my dear!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunisifia uongo aki my dear!!!

Morning my dear!
Kweli nakwambia upo vizuri sana na uhakika ndio ina reflect what you have in mind.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nakwambia upo vizuri sana na uhakika ndio ina reflect what you have in mind.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha nishukuru tuu jamani [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom