Nataka hela yanguMie ni muoga saana wa kesi baba paroko...
Shunie keki anazo mbili hapo juu hujaona lakini???
BadoBirthday bado inaendelea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli uvumilivu umenishindaParoko umeniuzia kesi wallah ..
Hebu twende kule tunakosomaga kimya
Hahaha
Kama nakuona vileeee
Hivi ni mtoto mie mpaka nitunziwe eenh naomba nitumie hela yanguNakutunzia bhana...
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] thans hun
Au nirushe kwenye ile Tigo pesa nini?Asante sana T wa dada [emoji120][emoji7] ubarikiwe sana nawapenda sasa hiyo zawadi kwa nini isiwe mpesa jaman
Babe vipi tena jamanAisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niambiwe NAKUDHARAU au single mazaHahaha
Shauri yakoooo
Nimefurahi tu[emoji30]Babe vipi tena jaman
Hizo mambo sitakiii nataka hela yanguSi umezaliwa Jana au???
Utakuwa umefanya la maana sana ebu rushaAu nirushe kwenye ile Tigo pesa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi tu[emoji30]
Sasa babe mbona wanicheka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzio lafa kaoza, kweli kila mtu na mtuwe nimeamini.Ahahahh ila yule mtu hapana jamaan bora tu nikufwe na utamu wangu kuliko kuwa na mpenzi sampuli ile
Kuna ptuuu,inahuuuu,upoooo!! Hayo maneno ya mtoto wa kiume kweli kuyatumia!!!Hiyo ptuuu inaniachaga njia pandaaa...
Naona kule pamekucha... Ngoja nikachukue popcorn..