Msalimie shemeji jamanShemeji Ngoda nakuona ujue
Magimbi sitakiiiWeeee Ili mniite "fala"??¿? [emoji28] [emoji28] [emoji125]
Nitamletea Magimbi tu.
Shemeji kazipokea salamu zakoo!Msalimie shemeji jaman
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Jaman mbona haujachelewa zawadi bado sakayo anapokea
Usiscreen shoti tafwadhali!Jamaaaniii
Tunaanzaje kwa mfano
Asante shemeji yake sakayoShemeji kazipokea salamu zakoo!
Hayo ndio mambo sakayo ukuje naomba muamala wangu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Pokea muamala!
Hizo mambo wanafanya watotoUsiscreen shoti tafwadhali!
teh teh tehTeh lizame mara ngapi sasa
Hazijachacha! Ile ndio madikodiko yake!Lakini Jirani sio vizuri kuleta keki zilizochacha
Hapana. Sahihi kabisa. Mi sio wa kukufanyia hivi. Hata mwenyewe najishangaaa!Tena nimekununia slim wewe sio wa kunifanyia hivi
Nisamehe sana! NimeTUBUJirani yako nimemnunia sio wa kunifanyia hivi wafanye wengine sio yeye