Unazidi kuharibu!Mdogo wangu pale ukinuna unajitesa tuu... Si unamjua lakini
Magimbi ya Matombo? Mgeta? Kinole? Kibwe?Weeee Ili mniite "fala"??¿? [emoji28] [emoji28] [emoji125]
Nitamletea Magimbi tu.
Umeniombea?Sawa
Bado anatafuta pa kufungulia lockHappy born day shunie wangu
Bado anatafuta pa kufungulia lock
Senk yuu Shunie me more [emoji7] [emoji7] [emoji7]Tantee [emoji7]
Kwa hapa Shunie najua nimejipalia makaa...ngoja wenye himaya waje nitoa hayo majicho [emoji13] [emoji13] [emoji13]Senk yuu Shunie me more [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Acha uoga we ni mwanaumeKwa hapa Shunie najua nimejipalia makaa...ngoja wenye himaya waje nitoa hayo majicho [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Thank u Numbii wangu [emoji8]
Asante sana baba musa wanguHappy born day shunie wangu
Hapana. Sahihi kabisa. Mi sio wa kukufanyia hivi. Hata mwenyewe najishangaaa!
Sitakiiii nipe mahela nikusameheNisamehe sana! NimeTUBU
Khaaah!Asante sana baba musa wangu