Fanya fastaEwaaaaa
Najiandaa hapa Jirani
Mara hii! Kujiandaaa gani huko! Hata huchelewi!Tayari ujue Jirani
Jikwatue nikienda kule nikaringishie wachoma nyama jirani!Sasa najiremba nini Jirani.... Mie nikioga inatosha
Mbuzi hawaishi kuleHaha
Jirani bwana, tutachelewa bwana
[emoji120][emoji7]To late lakini fresh tu..hbd ,be blessed[emoji482] [emoji482] [emoji485]
Aiseee
Veeep mbona ye kaniita shunie wakeKhaaah!
Namuona na atatugombanishaUnataka kunichonganisha na mdogo wangu Jirani!!!!
Dah ... huu uzi sikuuona Happy Born Day dada lake mie. cc shunie
Sasa jaman me nakutafutia wapiii hiyo zawadi haijachelewa lakini we nipe tuShunie hata kuniminya nikuletee zawadi acha roho mbaya my dada!
Nimekuja nyumbani umefunga mlangoSasa jaman me nakutafutia wapiii hiyo zawadi haijachelewa lakini we nipe tu
Nimekuja nyumbani umefunga mlangoSasa jaman me nakutafutia wapiii hiyo zawadi haijachelewa lakini we nipe tu
Nakuzoom nione kama umependeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sasa najiremba nini Jirani.... Mie nikioga inatosha
Kupo wazi ebu angalia vizuriNimekuja nyumbani umefunga mlango