Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Hoping sijachelewa kukutakia hbd mdogo wake na Sakayo ,Shunie , Mungu akujalie rehema uishi kwa mapenzi yake.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Since 2017 daaaah.
 
Hoping sijachelewa kukutakia hbd mdogo wake na Sakayo ,Shunie , Mungu akujalie rehema uishi kwa mapenzi yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Since 2017 daaaah.
Aimen aimennn!!

Ulikuwa unafukua makaburiii ya nini eti jamani!
 
Aimen aimennn!!

Ulikuwa unafukua makaburiii ya nini eti jamani!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijafukua eti, nimelikuta tu lipo wazi lenyewe sijui nani kalifukua, mi nimelichungulia tu likiwa wazi my princess.
Ila kiukweli uko na mantic, mpangilio na mtiririko mzuri sana kwenye uandishi wakoπŸ‘πŸ‘πŸ‘ au uliwai pitia lile darasa la art of creative writing.
Morning.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunisifia uongo aki my dear!!!

Morning my dear!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunisifia uongo aki my dear!!!

Morning my dear!
Kweli nakwambia upo vizuri sana na uhakika ndio ina reflect what you have in mind.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nakwambia upo vizuri sana na uhakika ndio ina reflect what you have in mind.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha nishukuru tuu jamani [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…