Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Eeeenh upiii huo tenaDada yako anao wa kwake mkali zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeenh upiii huo tenaDada yako anao wa kwake mkali zaidi
Apambane na khali yake
Una maakili mengi sana ujue..agiza maji hapoo nalipaaaEeh siunajua tena mwanamke rafiki yake mapesaa..
Hutaki tenaKhaaaa
Mji mpya ulipo mshipaNihamie wapi eti
Hahhaha dada akee shunie huwa anajulikana tu bila kuuulizaUzuri una dada wengi
Kwahiyo we unautaka ukae tuApambane na khali yake
Amina mdogo wangu, mimi pia napenda niishi miaka mingi nishuhudie baraka Mungu anazokumiminiaJamani jamanii dada!
Mungu akutunze kwa ajili yangu jamanii
Lazima akujueeeHahhaha ninapopapenda kajuajeee
Hahaha hahahaDada yako anao wa kwake mkali zaidi
Hahahhha ulivyoushikilia eenhMependa huo mkono
MuulizeEeeenh upiii huo tena
Huko ndio anapokaa ujueUpo kuja kumsalimia dada yako huku nanjilinji
EwaaaaaAsante sana dada akee shunie ni kweli usemayo ndugu sio lazima mzaliwe pamoja
Dada kasema usitoe etiHahaha natoa
Sema kweeli jamaniiHaha hamna shipa hapo wewe