Happy Birthday Shunie!!!!!!!

@Mods unganisheni nyuzi iwe moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wanaunganisha na uzi wa 2015 kweli mods huwa wananikosesha raha, wasijaribu kuusumbua huu uzi dada yangu sakayo katumia muda mwingi sana kutengeneza keki za kipenzi chetu shunie, nitang'atuka
 
So fantastic memo...!
 
endelea kuhubir injili tu hayo ma bucket yaache kama yalivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wanaunganisha na uzi wa 2015 kweli mods huwa wananikosesha raha, wasijaribu kuusumbua huu uzi dada yangu sakayo katumia muda mwingi sana kutengeneza keki za kipenzi chetu shunie, nitang'atuka
Hahaha hahaha hahaha
Usijali kabisaaa paroko wa shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…