Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Yaan nalia mm sijui machozi ya furaha sijui ya nini jamani sikutegemea kukutana na hayaAtuweke sote kipenzi!
Mimi kila nikikumbuka wema wako kwangu nalia! Nawaza kama usingekuwepo ningekuwa namlilia nani mimi!
Ila kuna wakati anakuwaga mkali, sema tuu ushakuwa ndugu yangu jamanii! Love you
Hahhaha eti kuna mda nakuwa mkali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka niwe mkali ujue umenikera