Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Atuweke sote kipenzi!
Mimi kila nikikumbuka wema wako kwangu nalia! Nawaza kama usingekuwepo ningekuwa namlilia nani mimi!

Ila kuna wakati anakuwaga mkali, sema tuu ushakuwa ndugu yangu jamanii! Love you
Yaan nalia mm sijui machozi ya furaha sijui ya nini jamani sikutegemea kukutana na haya

Hahhaha eti kuna mda nakuwa mkali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka niwe mkali ujue umenikera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…