[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa yaani maana sio kwa kilio kile!!!!
Khaaaa mwanzoni nimekubembeleza sana jamaniii mpaka machozi nilikua nakufutaHalafu unasema ulinibembeleza...
Mfyuuuuu...
Hivi najichoshaga nini kukubembeleza!! We subiria
Na wewe unaamka saa tatu wakati mie melala dk kumiHaahahahah
Mpaka bando likakataKwahiyo mlikesha mpaka saa ngapi
Akikujibu nitagUliwaona kwani
Hahhaha nilikukimbia mmNa wewe unaamka saa tatu wakati mie melala dk kumi
Bundle lilikuishia ikawaje sasa usikuMpaka bando likakata
Hebu shangaa na wewe!Loohhh!!!kununiana kabisaa!!!!
Siku yako inakuja aki..Ile siku uliniuzi mm sitakagi hata kuikumbuka mm
Tuma hukoooItamfata jamani kijijini kwake
Mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NdiwoooEeenh
MfyuuuuuMfyuuuu sijakubembeleza ile siku mm mtu hunyamazi nikaendelea kujinywea beer zangu
Ko unaona sifa eeehhMuulize
Hahaha hahaha hahahaHahahhahha nimecheka kwa sauti mm uvumilivu wa nn sasa
Alikuwepo ndiwoooKwani alikuwepo na yy
Hebu hukooUsilale bwana
Wewe huyooMwanzoni nilikubembeleza sana mm