Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kile kiebrania unadhani nani kaandikaaKhaaa kwani alihusika kwenye uzi
Hahaha hahaha hahaha hahahaHahahaaaa.....nanjilinji unapajua lakini...[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1]daaah!
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wife materialKukupongeza na nn eti
Wakati ule usiku nilifuta kabisaaa app ya jfHahhaha na sijui kama ungekuja kutujibu
Kwahiyo mm nilivyokuwa nakumbeleza sionekani tenaHahaha hahaha hahaha
Nyie hapana.... Mliwezaje kuniacha nilie mwenyewe aki! JF nayo ikatoweka si ingesubiri tuu jamani
Hahahhaha acha kabisa mpaka tunaondoka pale hatuongei ujueHahaaa....mbona kununianaaa....hapo uko high....kichwani!!!!siku ile acha tu sisahau kabisaaa
HaahahahahHivi dada wewe hukutuacha JF?! Wewe ulitupia uzi ukasepa, mimi na babe wangu tukatupia wetu tukabaki
Kwahiyo mlikesha mpaka saa ngapiUna nini jamanii
Jana tumelala dk kumi tuu, naomba utuwachee
Hivi ulifika salama kweeli...Hahaaa....mbona kununianaaa....hapo uko high....kichwani!!!!siku ile acha tu sisahau kabisaaa
Uliwaona kwaniBibi wewee...mlikua mnanirusha roho tu hapaii!!!ninyi mlikua mnafarijiana hapa...Mimi hapa sina bebi mnirushe roho kisa...[emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nkaenda kulalaa
Tuzo ya uvumilivu dadaHahaaa...kukupongeza na nini?!!!
Ile siku uliniuzi mm sitakagi hata kuikumbuka mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweendaaaaaa.....