Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

[emoji1][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]sakayooo...tungelia wote nani angembembeleza mwenziwe sasa...Mimi si nilikua nakupa pole dear...!!!nilipanga nikuliwaze na jf Mara paaap mtandao hakunaaa
Hahaha hahaha hahaha
Una nini lakiniiii.... Mbona hukulia tusaidianee kile kilio lakini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msinikumbushe kilio nilimnunia mtu mm mpaka tunafika kitandani hatuongei
 
[emoji1][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]sakayooo...tungelia wote nani angembembeleza mwenziwe sasa...Mimi si nilikua nakupa pole dear...!!!nilipanga nikuliwaze na jf Mara paaap mtandao hakunaaa
Hahaha hahaha hahaha
Nyie hapana.... Mliwezaje kuniacha nilie mwenyewe aki! JF nayo ikatoweka si ingesubiri tuu jamani
 
Hahaaa....mbona kununianaaa....hapo uko high....kichwani!!!!siku ile acha tu sisahau kabisaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msinikumbushe kilio nilimnunia mtu mm mpaka tunafika kitandani hatuongei
 
Hivi dada wewe hukutuacha JF?! Wewe ulitupia uzi ukasepa, mimi na babe wangu tukatupia wetu tukabaki
Bibi wewee...mlikua mnanirusha roho tu hapaii!!!ninyi mlikua mnafarijiana hapa...Mimi hapa sina bebi mnirushe roho kisa...[emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nkaenda kulalaa
 
Back
Top Bottom