Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Nazima na simu
Ujue jana nimelala dk kumi tuu... Naomba tusitesane
Hahaaaahaaa...hv wewe ujue una vitukooo!!halafu Sakayo ile siku ya bday yakoo!!!daaahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisahau jf ikazimwa nlitamani kuliaaa..nilipanga nikesheeeee
 
Hahaha hahaha hahaha
Una nini lakiniiii.... Mbona hukulia tusaidianee kile kilio lakini
 
Hahhaha ile siku au sababu tulipania jamaniii
 
Hahaha hahaha hahaha
Una nini lakiniiii.... Mbona hukulia tusaidianee kile kilio lakini
[emoji1][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]sakayooo...tungelia wote nani angembembeleza mwenziwe sasa...Mimi si nilikua nakupa pole dear...!!!nilipanga nikuliwaze na jf Mara paaap mtandao hakunaaa
 
Back
Top Bottom