Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Binamu hili gazeti lako limetoka ndani ya uvungu wa moyo wako; mtu atakayefanikiwa kuugusa moyo wako kama alivyofanya mama Heineken ndo ataona hayo maneno matamu hivi. Unajikuta tu unakuwa mfilipino ghaflaaaa
Mzidi pia kudumu waumini wangu watiifuHallelujah Mama mchungaji azidi kudumu jamani cc Heaven Sent
Binamu sijajificha Mambo tu tutaongea PM dear!Warereeeeee Mama Mchungaji in the making .
Binamu hata usiongee. Najua fika that maisha ya kiroho ya mtu ni too personal, ni mtu binafsi ndo anayejua nini anafanya na Mungu wake behind his/her closed doors. Watu wa nje tunajudge vinavyoonekana kwa nje (especially mabaya), ila ni Mungu tu ndo anayejua ya sirini kwa mtu. So siku nikimuona shunie madhabahuni wala sitoshangaa, maana sijui Mungu ana kusudi gani naye na kwa wakati gani
Btw upunguze kujificha khaaa
Binamu hili gazeti lako limetoka ndani ya uvungu wa moyo wako; mtu atakayefanikiwa kuugusa moyo wako kama alivyofanya mama Heineken ndo ataona hayo maneno matamu hivi. Unajikuta tu unakuwa mfilipino ghaflaaaa
AkuuuuuuEiiiish utakuja dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina majotroooo!!wooiiiiiii!!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hyo ni kufurahi tu no kilio tena
Hebu mniaacheeeeeHahhaha nakwambia hajalala ile siku na alfajir anatakiwa aondoke nimejigeukia upande wa pili nimelala mie na mshkaki wake mmoja nikala mana nakumbuka hata chakula hajala mapenzi mapenzi jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shikamoo mapenzi sasa akikumbuka anajichekea tu anajiuliza hivi yulee nilikua mm kweli
Hahaha hahaha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]shunie Mungu anakuonaa...loohh!ukaupiga usingizi kama wotee!!
Mapenzi nomaa kabisaa!![emoji1][emoji1][emoji11]huyo unaemuwaziq mwenzio kalala miguu juu habari hapati!!!
Ila inauma asikuambie mtu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa....kilio kitoke wapi sasaa!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema kweeli jamanii
Haha basi nimeacha[emoji28][emoji28][emoji28]umeanza sasa...napenda sana mtu anijali!yaani binamu Shunie kuna mwingine simtaji ntamtaja siku ya bday yake miezi hii niliyoadimika acha tu yaani nawashukuru mnoo..abarikiwe aliyeweka jf!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha
Huko nishasahauuu saivi niko na roho ya baba
Hahaha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]shunie Mungu anakuonaa...loohh!ukaupiga usingizi kama wotee!!
Mapenzi nomaa kabisaa!![emoji1][emoji1][emoji11]huyo unaemuwaziq mwenzio kalala miguu juu habari hapati!!!
Ila inauma asikuambie mtu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona imenifikia ya kwako na nimekujibu?
Acha kabisa mama mchungaji ukiniona madhabahuni nanena kwa lugha usishangae kabisaWarereeeeee Mama Mchungaji in the making .
Binamu hata usiongee. Najua fika that maisha ya kiroho ya mtu ni too personal, ni mtu binafsi ndo anayejua nini anafanya na Mungu wake behind his/her closed doors. Watu wa nje tunajudge vinavyoonekana kwa nje (especially mabaya), ila ni Mungu tu ndo anayejua ya sirini kwa mtu. So siku nikimuona shunie madhabahuni wala sitoshangaa, maana sijui Mungu ana kusudi gani naye na kwa wakati gani
Btw upunguze kujificha khaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona mama heineken naliona hili jina kukua mama mchungajiBinamu hili gazeti lako limetoka ndani ya uvungu wa moyo wako; mtu atakayefanikiwa kuugusa moyo wako kama alivyofanya mama Heineken ndo ataona hayo maneno matamu hivi. Unajikuta tu unakuwa mfilipino ghaflaaaa
Hahaha hahaha