Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hapo binamu ndo napokupendea wewe...hunaga shida na mtu
Warereeeeee Mama Mchungaji in the making .

Binamu hata usiongee. Najua fika that maisha ya kiroho ya mtu ni too personal, ni mtu binafsi ndo anayejua nini anafanya na Mungu wake behind his/her closed doors. Watu wa nje tunajudge vinavyoonekana kwa nje (especially mabaya), ila ni Mungu tu ndo anayejua ya sirini kwa mtu. So siku nikimuona shunie madhabahuni wala sitoshangaa, maana sijui Mungu ana kusudi gani naye na kwa wakati gani

Btw upunguze kujificha khaaa
Binamu sijajificha Mambo tu tutaongea PM dear!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28]umeanza sasa...napenda sana mtu anijali!yaani binamu Shunie kuna mwingine simtaji ntamtaja siku ya bday yake miezi hii niliyoadimika acha tu yaani nawashukuru mnoo..abarikiwe aliyeweka jf!!!
Binamu hili gazeti lako limetoka ndani ya uvungu wa moyo wako; mtu atakayefanikiwa kuugusa moyo wako kama alivyofanya mama Heineken ndo ataona hayo maneno matamu hivi. Unajikuta tu unakuwa mfilipino ghaflaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhaha nakwambia hajalala ile siku na alfajir anatakiwa aondoke nimejigeukia upande wa pili nimelala mie na mshkaki wake mmoja nikala mana nakumbuka hata chakula hajala mapenzi mapenzi jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shikamoo mapenzi sasa akikumbuka anajichekea tu anajiuliza hivi yulee nilikua mm kweli
Hebu mniaacheeeee
 
[emoji28][emoji28][emoji28]umeanza sasa...napenda sana mtu anijali!yaani binamu Shunie kuna mwingine simtaji ntamtaja siku ya bday yake miezi hii niliyoadimika acha tu yaani nawashukuru mnoo..abarikiwe aliyeweka jf!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha basi nimeacha

Kweli binamu, emu fanya kuwashukuru wajue wana umuhimu gani kwenye maisha yako. Maisha yenyewe mafupi haya, wale watu wanaosimama na sisi kwenye kila hali ni vyema wakajua tunathamini sana wanavyojitoa kwetu
 
Warereeeeee Mama Mchungaji in the making .

Binamu hata usiongee. Najua fika that maisha ya kiroho ya mtu ni too personal, ni mtu binafsi ndo anayejua nini anafanya na Mungu wake behind his/her closed doors. Watu wa nje tunajudge vinavyoonekana kwa nje (especially mabaya), ila ni Mungu tu ndo anayejua ya sirini kwa mtu. So siku nikimuona shunie madhabahuni wala sitoshangaa, maana sijui Mungu ana kusudi gani naye na kwa wakati gani

Btw upunguze kujificha khaaa
Acha kabisa mama mchungaji ukiniona madhabahuni nanena kwa lugha usishangae kabisa
 
Binamu hili gazeti lako limetoka ndani ya uvungu wa moyo wako; mtu atakayefanikiwa kuugusa moyo wako kama alivyofanya mama Heineken ndo ataona hayo maneno matamu hivi. Unajikuta tu unakuwa mfilipino ghaflaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona mama heineken naliona hili jina kukua mama mchungaji
 
Back
Top Bottom