[emoji120][emoji120][emoji120]Mzidi pia kudumu waumini wangu watiifu
Sijakuita walaa
Hahhahaha sema ukishika Mic ntakuwa nahisi umeshika HeinekenAcha kabisa mama mchungaji ukiniona madhabahuni nanena kwa lugha usishangae kabisa
Ewaaaaa
Ameeen [emoji120][emoji120][emoji120] Mungu azidi kumbariki Melo[emoji28][emoji28][emoji28]umeanza sasa...napenda sana mtu anijali!yaani binamu Shunie kuna mwingine simtaji ntamtaja siku ya bday yake miezi hii niliyoadimika acha tu yaani nawashukuru mnoo..abarikiwe aliyeweka jf!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha naona ndio unaamkaKwenda
Kwa jinsi unavyozihusudu, jina litakua tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona mama heineken naliona hili jina kukua mama mchungaji
Tunaanzaje kukuacha etiHebu mniaacheeeee
Best unapendwa ww hadi rahaaaaaAsante mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha
Huko nishasahauuu saivi niko na roho ya baba
NdiwoooHahhaha naona ndio unaamka
Asante mkuu
Si najileftisha tuu mieTunaanzaje kukuacha eti
Naona wasap zako kwa juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sautiHahhahaha sema ukishika Mic ntakuwa nahisi umeshika Heineken
Lishindwe kwa jina la Yesu mama mchungajiKwa jinsi unavyozihusudu, jina litakua tu
Limeshashindwa, sasa hivi litaanza kukua la mama MchungajiLishindwe kwa jina la Yesu mama mchungaji
Jamani mkuu wangu cheka tu na kila mtu, muheshimu kila mtu, ukiwa umemkosea mtu jishushe jua kuomba msamaha, usiwe na roho ya kiburi, zidi kumuomba Mungu akupe roho ya hekimaBest unapendwa ww hadi rahaaaaa
Nimfundishe na mm nifanyeje ili niwe napendwa hivooi
Sent using Jamii Forums mobile app
Poyee babe unataka nikubebe etiNdiwooo
Hahhaha mwehu weweSi najileftisha tuu mie