Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Best unapendwa ww hadi rahaaaaa

Nimfundishe na mm nifanyeje ili niwe napendwa hivooi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mkuu wangu cheka tu na kila mtu, muheshimu kila mtu, ukiwa umemkosea mtu jishushe jua kuomba msamaha, usiwe na roho ya kiburi, zidi kumuomba Mungu akupe roho ya hekima

Ni hayo machache tu usimdharau yeyote
barikiwa mkuu wangu
 
Back
Top Bottom