mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Mi hapana roho itaniumaHahahahah we hutaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi hapana roho itaniumaHahahahah we hutaki
EeeehhhMtagi shunie
Mbona unamsemea we vipi?? Au ndo Ma I'd yenu hayo [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kama vinini hivyo
Mbona vigelegele tenaWoyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti hivi kumbe nadaiwa kitenge eeenh wax sh ngapiii ukoKitenge changuu
Ndo nikusamehee... Love you more Shunie!
Hahaha hahaha hahahaNa ashindwe kwa jina la Yesu
Upooo humu humuUko wapi huo
Hahaha hahahaHuo si mkono unaonekana hebu vaa miwani uangalie tena
Hahhaha ngoja aungeJamani jamanii
TofautiSi ndio hukohuko bwana
Unajisahaulisha eeehDada akee shunie ni upi huo
Eeeh muulizeSakayo
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] thank u hunieEnjoy yo day kiboko yangu!
Hahaha hahaha hahahaSio mimi huyo, acha ramlii
Eeh si ndio huohuo mkonoHahaha hahaha
Mie naona mkono wa kiumee
Hahhaha eti kakupiga chabo asante jamani Mungu wetu azidi kutuweka wote [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Happy birthday once again Shunie aliyoyaandika mleta uzi kama kanipiga chabo ...happy birthday tena Mungu azidii kukuwekaaaa
Hahaha hahaha hahahaHahhaha unatafuta ugomvi eenh
Asante sana mpenzi barikiwa [emoji8]Hizi nyuzi nyingi hii inaonyesha ulivyo mpendwa..
happy birthday mrembo wangu.Mungu akuongezee hekima busara na upendo
Anao kumi kidogoWe dada yako ni nani humu?