Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahaaha hii mara ya tatu au ya pili ujue unaniambianapendaga kusema wapi zaidi ya hapa tu? usinilishe maneno
Siwezi kubisha wakati mkono unaonekana hapoOoooh
Mbona ulibishaa
Kasema mwenyewe mbonaHivi lakini unapendaga kusema una ids nyingine ebu nitajie basi
Mtakie shangazi toto tunduToto tundu naruhusiwa kumtakia Shangazi happy birthday?[emoji41][emoji41][emoji41]
KabisaaaSi mpo majirani uko
Hahhahah wivuHata najua basi
KhaaaaHatakiii maji
Hata mm nimecheka sanaHahaha hahaha hahaha
Ujue mecheka saaaana wewe mtu
Ewaaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀 mimi ntakua wa mwisho kuwatofautisha nyie@Sakayo &@Shunie nadhani tumeelewana
Sawa ila ni mambo ya privacy sasa ndo maana kukawa na private message {PM} nakuja huko we kaa mkao wa kulaKwani machungwa ebu kuwa muwazi ujue wewe mwanaume acha kupinda Linda
KwendaaHahhahah wivu
Hahhahahhahah kwakweli Maxence ashukuriwe tuEm haya.. Kama ngoma tuchezeshane tu. [emoji23][emoji23][emoji23] tumshukuru maxence
JamaniHahhaha eti roho itamuuma
Akwende hukooHahaha ametishia kunireport kwa mods kuwa avatar yangu inamnyima amani akiingalia
Niambie basi mimi tuu... Wewe ni hater eeehhnapendaga kusema wapi zaidi ya hapa tu? usinilishe maneno
Hahhahahhaha asante chapombe mwenzangu [emoji8][emoji8][emoji8] kivuruge ila siku hizi nahisi umeokoka ujue