Jason Statham2
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 694
- 1,013
Usione wivu mkuu... Tuombee Mungu shetani asikatize kati kati
Unadhani shetani hajui kwa kwenda? kwenu ashashindwa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usione wivu mkuu... Tuombee Mungu shetani asikatize kati kati
Naomba hiyo mokaUwe na siku njema ya kuzaliwa Dada yangu kipenzi Allah akusimamie katika siku yako ya leo ya kuzaliwa.
View attachment 978546
Siku zote mimi Penda sana wewe. [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
Enjoy your day cheupeThank u Antonio [emoji8][emoji8][emoji8]
Sio kukimbia kulee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaan mm sijui jamani
SawaMwambie sina
Kweli usemayo Jason tunamshukuru Mungu kwakweli ikitokea tumepishana kidogo huwa tunamaliza wenyeweJF kumejaa wanafiki sana ukiona unadumu kiasi hicho ni bahati kweli. Wengi ni full kuchorana na kuuzana tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwehu weweUmeonaeeee
Acha nijiwish
EwaaaaaHata mi naona kwaiyo hata nikitongoza mmoja ndo nimetongoza wote sio?
Hahahhah umetuelewa kwamba shunie, shadeeya na sakayo ni mtu mmoja eenh[emoji2][emoji2][emoji2] haya tuliisha yamaliza lakin shadeeya.. Mbona mi nimewaelewa kwann nyie hamtaki kunielewa [emoji4][emoji4]
NdiwooooKwahyo wewe ukiliwa na Sakayo naye automatically anakuwa ameliwa
Kama nini eti mchuchuZote utakuja kuchagua mwenyewe upendazo
Hallelujah [emoji8][emoji8][emoji8]Unadhani shetani hajui kwa kwenda? kwenu ashashindwa!!!
hahahaaaa thats my shuniiNaanzaje kukusahau sasa kwenye tag we kaa tayali
Si anachoooHhahahha eti cha peke yake
[emoji120][emoji120] [emoji8]Enjoy your day cheupe
Hahahahhaha nakimbiwa mpaka pm jamaniiiSio kukimbia kulee