Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
hongera aiseeNakunywa ile ya mapadiri tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera aiseeNakunywa ile ya mapadiri tuu
Vingine vipii hivyo tena baba paroko[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sakayo huyu anataka niwaze vingine ili nitende dhambi
Hahahah uliwazaje sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka. Ujue sijawaza huko mwenzenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee huu. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Tatizo ni home tuuu word hakuna lingineMnataka au hamtaki?? [emoji1]
Hongera hiyo veeepeee!hongera aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wanaunganisha na uzi wa 2015 kweli mods huwa wananikosesha raha, wasijaribu kuusumbua huu uzi dada yangu sakayo katumia muda mwingi sana kutengeneza keki za kipenzi chetu shunie, nitang'atuka@Mods unganisheni nyuzi iwe moja
So fantastic memo...!Ever since I met,I've become the part of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or anything time of communication!!!
Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...
Nashukuru kwa kila kitu ,kuniamini,kukuamini,kunipenda,kunijali kunithamini na kunifariji kwa miezi hii mita kwa yote niliyokua napitia hujui kiasi gani u mean to me...
Shunie wa jf sie yule nimjuae Mimi,nnaemjua Mimi ni yule anafunga na kusali most of her time...Shunie wangu ni yule anapiga simu na kuniambia Geni nakuombea yataisha...pole mpenzi...
Word can't express how big heart Almighty gifted uu!!!!how Almighty blesses u daily and always...
Watu wanaweza kukutazama upande ule utakaowafariji wao ili kuridhisha nafsi zao za husda na kukupaka kinyesi lakini Mubgut ndo ana jua dhamira yako...
Shunie,nakupenda sanaa mpenzi,shunie nashukuru nisamehe kwa nililokukwaza...
Naomba nikutakie heri nyingi,fanaka nyingi,maisha mema happily ever after with ur family...
Nakuombea kizazi chema luv....Mungu akupe yote uyaombayo kwa wakati wake ambao ni Sahihi!!!!
Ataka nyonyo jamaniHahaha hahaha hahaha
Kweeendaaaa
HBD Shunie my sister...!Happy Birthday Shunie
Kwahiyo?? Sasa?Sisi si unajua wote ni mmoja
Hatimaye umekuja hiyo ni vice versa ujue usileft basimmmh
HahahahaHebu na wewe. [emoji23][emoji23] Japo usisahau ni sunna kwa mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]endelea kuhubir injili tu hayo ma bucket yaache kama yalivyo
Hahaha hahaha hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wanaunganisha na uzi wa 2015 kweli mods huwa wananikosesha raha, wasijaribu kuusumbua huu uzi dada yangu sakayo katumia muda mwingi sana kutengeneza keki za kipenzi chetu shunie, nitang'atuka
Vya duniaVingine vipii hivyo tena baba paroko
Sasa tatizo linakuaje home labda? Basi mtume shadeeyaTatizo ni home tuuu word hakuna lingine
Mzuie shetani usiwaze vingineSi unaona anataka niwaze vingine huyu mtoto, wakati mimi ni baba paroko
Anakunywa jana kanywa chupa mbili za dompo mama mchungajikwan mama mchungaji anakunywa divai siku hiz?