Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EwaaaaaAu alikua anatafuta stimu za kuandika thread kuna siku niliuliza amerud Jf kwan kuna birthday hv karibuni kumbe kwel ya kwako
Nimelipenda andiko; MHU 2:1...!Heri ya kuzaliwa Shunie nakutakia maisha mema yenye furaha na mafanikio kwa miaka mingine utakayopewa ila ukumbuke hili andiko la mhubiri
MHU. :12:1
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
Hahhahahah mbavu zangu mm ujue kumrudisha jf nimefanya kazi sana aliniambia harudi mpaka nimtumie dompo nikamtumia helaAu alikua anatafuta stimu za kuandika thread kuna siku niliuliza amerud Jf kwan kuna birthday hv karibuni kumbe kwel ya kwako
Wise...!I'm speechless [emoji22] kwakweli
Truly appreciate for the love and gratitude you showed me [emoji173]
Nakupenda sana sakayo wangu Mungu wetu azidi kutuweka tu nakosa hata cha kuandika [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Dompo red si ndio ulikunywa janaNdo nini eti
Kwan ulikunywa ili ulale?Ewaaaaa
Yaani ile sirudii tenaaa.... Sikulala kabisaaa aki!!
NdiwoooooooooEeehhh
Hahaha hahaha hahahaKweli jamani na nina ushahidi wa picha
Hahhahhaa nacheka mm jamaniWalaa nimefurah atlist sasa tunazungumza lugha moja
Aaaah ww mwongo.Mbona kama damu changa kabisaAkhuuu ubichi nimemaliza mda nipo kwenye menopause mm
Mh jamaniMambo meng bwana usjal lakin
Ha ha ha ha Gen upo ndugu yanguHivi Boony nilikukoseaga nini we mbaba wewee....!!!mbona umeadimika hvyo
HapanaWalaa nimefurah atlist sasa tunazungumza lugha moja
Kwahyo umeshiriki kutoa rushwaHahhahahah mbavu zangu mm ujue kumrudisha jf nimefanya kazi sana aliniambia harudi mpaka nimtumie dompo nikamtumia hela
Hurudii tena nn na kwa nn haujalala dadaEwaaaaa
Yaani ile sirudii tenaaa.... Sikulala kabisaaa aki!!