Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sawa mkuuPita kama ulivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuPita kama ulivyo
Asilewe dompo mbili anakunywa kila saa ananiambia anasikia joto kanisumbua jana mpaka nimemzima dataDuh kwel mwana kakua siku hzi sio kunywa amekunywa na kulewa juu kiboko
Akikujibu niiteeeHivi Boony nilikukoseaga nini we mbaba wewee....!!!mbona umeadimika hvyo
Sina uchanga wowote jamani mm ni ajuzaAaaah ww mwongo.Mbona kama damu changa kabisa
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Asilewe dompo mbili anakunywa kila saw ananiambia anasikia joto kanisumbua jana mpaka nimemzima data
Eeeenh rushwa ya dompo ndio mtu kurudi jfKwahyo umeshiriki kutoa rushwa
Akikuita nitagAkikujibu niiteee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuu
Hahaha hahahaHahhahahah mbavu zangu mm ujue kumrudisha jf nimefanya kazi sana aliniambia harudi mpaka nimtumie dompo nikamtumia hela
Ulilewa bwana sio kwa kusumbuliwa vileHahaha hahaha hahaha
Sikulewa walaa... Hivi upojeee
Hongera zako mpka rushwa kaikubal ntakushiriksha na mm ukantolee rushwa ili kuna kitu afanyeEeeenh rushwa ya dompo ndio mtu kurudi jf
Hivi jana si tulikuwa wote mpaka nalala, uliniona melewa akiDuh kwel mwana kakua siku hzi sio kunywa amekunywa na kulewa juu kiboko
Hahhaha ndio hivyo yaani dompo ndio kinywaji pendwa cha dada[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Unaanzaje kuleft na mm nimekurudisha kwa hongoHahaha hahaha
Mie mekuja sababu ya birthday jamaniii... Naleft sasa hivi
Ha ha ha ha Mama usinshirkshe dhambi wala sikua na mtu jana mieHivi jana si tulikuwa wote mpaka nalala, uliniona melewa aki
HapanaDompo red si ndio ulikunywa jana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Andaa madompo tu na kitenge cha waxHongera zako mpka rushwa kaikubal ntakushiriksha na mm ukantolee rushwa ili kuna kitu afanye
Duh hawa waliochelewa kuanza huwa wanakua moto sanaHahhaha ndio hivyo yaani dompo ndio kinywaji pendwa cha dada