Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Kweli kabisaa!
Nimelipenda andiko; MHU 2:1...!
Sisi waislamu tunasema, "wamaa khalaqtul jinni wal insuu illa liyaabudun..."
Tafsiri: (MwenyeziMungu) hakuwaumba wanaadamu na majini isipokuwa wapate kumuabudu.
 
Shunie Leo keki wapiii...na mishikaki Niko njiani natoka humu kijijini nakuja mjini mamaaaa....mapemaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Andaa madompo tu na kitenge cha wax
 
Asilewe dompo mbili anakunywa kila saa ananiambia anasikia joto kanisumbua jana mpaka nimemzima data
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndo yalinishinda hapo tu kuna masuala ya mbili kuiona 6 sitaki miye
 
Back
Top Bottom