Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Yani ni kweli.KE anayeielewa jf Kwanza lazima atakuwa na umri mkubwa na msomi.Ila vijivulana sie tunaielewa baadhi lakini.Wengine tunajadili vitu vya msingi na wengine ni full kuleta habari za wakina zari.
Hahahhaha nacheka kifwala mm yaani tamuuuuu ebu tuache na uzee wetu
 
jisong hilo likuburudishe
Wouzeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sinywagi pombe leo nitalewaaaaaaaaa
 
Yani ni kweli.KE anayeielewa jf Kwanza lazima atakuwa na umri mkubwa na msomi.Ila vijivulana sie tunaielewa baadhi lakini.Wengine tunajadili vitu vya msingi na wengine ni full kuleta habari za wakina zari.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu mna vurugu aseee
 
Wouzeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sinywagi pombe leo nitalewaaaaaaaaa
Lewa tu mama its ur deeeeeeiiiiiiiii!!!!!
 
Umeona eeeeh!kina bibi Cheka jamaniiii!!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Vigagula vibibi tukinao hata ig hatuijui
 
Ndugu acha tu hapa kutoka humu mpk mjiniii....shughuli huku hata uber haifiki,daladala zenyewe tafrani acha wangu!!!maduka mwisho saa 3!!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]yaani tabu nnayo Mimi jomoniiii
Tatizo na wewe umeahamia shamba siku hizi
 
Ila unaonekana upo romantic ww.Uzuri wa ninyi aged wasafiii,halafu unapompa mtoto kama mie unampa Kwa roho Safi tu tena any time."shkamoo lakini"
[emoji3][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]kumbe giaaa...ya kuimbishaaa....jamaaani!
 
Lewa tu mama its ur deeeeeeiiiiiiiii!!!!!
Oooh yeah acha tu nijilewe tuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama nakuona jamaniii
 
Oooh yeah acha tu nijilewe tuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama nakuona jamaniii
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]mi nna maji yangu hapa ya Afya yanantoshaaa!!!+

Niko nakuzoom mbethdeiwaaaa!!!katoto
 
Umeona eeeeh!kina bibi Cheka jamaniiii!!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atuache na ugagula wetu aende ig kwake uko
 
Back
Top Bottom