Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahah ila we mtu hapana jamaniiiiHahaha hahaha hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah ila we mtu hapana jamaniiiiHahaha hahaha hahaha
Umeanza upyaHahahaha ujue sakayo kanisumbua sana jana
Nini jamaniiHahahah ila we mtu hapana jamaniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani umeshamaliza kuogaUmeanza upya
Unanifurahisha sana hujui tu yaani kama leo nimecheka sanaNini jamanii
HahhahahahahaSawa dada
Asante kipenzi changu tuzidi kubarikiwa sote [emoji120] [emoji8]Happy birthday rafiki yangu,
Mungu wa mbinguni azidi kukupa hekima na kukutunza daima.
Uishi kwingi kwenye furaha na amani.
Ubarikiwe
Kwahiyo kule ni mjini eenhHahahaaaa!kijijini jamani loooh shunie hufai weye
HBD SHUNIEEver since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means!!!!
Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...
Nashukuru kwa kila kitu ,kuniamini,kukuamini,kunipenda,kunijali kunithamini na kunifariji kwa miezi hii mita kwa yote niliyokua napitia hujui kiasi gani u mean to me...
Shunie wa jf sie yule nimjuae Mimi,nnaemjua Mimi ni yule anafunga na kusali most of her time...Shunie wangu ni yule anapiga simu na kuniambia Geni nakuombea yataisha...pole mpenzi...
Word can't express how big heart Almighty gifted uu!!!!how Almighty blesses u daily and always...
Watu wanaweza kukutazama upande ule utakaowafariji wao ili kuridhisha nafsi zao za husda na kukupaka kinyesi lakini Mubgut ndo ana jua dhamira yako...
Shunie,nakupenda sanaa mpenzi,shunie nashukuru nisamehe kwa nililokukwaza...
Naomba nikutakie heri nyingi,fanaka nyingi,maisha mema happily ever after with ur family...
Nakuombea kizazi chema luv....Mungu akupe yote uyaombayo kwa wakati wake ambao ni Sahihi!!!!
Pole mnooHapa kwenyewe niko mjini kati nawaza usafiri natamani kuliaaa
Asante mpenzi wangu ubarikiwe [emoji8]Kheri siku ya kuzaliwa Shunie
Hahhaha nijibu basi nifute kauli yangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]looj
Uishi miaka mingi yenye mafanikioAsante mpenzi wangu ubarikiwe [emoji8]