Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahahaAkawa anawachora tu mtu na babe wake
Usingeingia uoneeHahahah na kuamka kwa kuniladhimisha niingie jf na nisingeingia
Hivi ndo mtu anabembelezwa vileeeHahhaha nishalewa mimi mtu nakubembeleza hunyamazi
Huko ni kutafuta uchochezi jamaniiHahahah bundle ulipata wapi sasa lilivyoisha
Happy bday mkwe wa mie,ila wale mashujaa walitaka kuharibu bday party yetu,wale jamaa sio watu wazuriShukrani mnoooo zakazaka ubarikwe sana
AmeenAllah ampe yenye kheri Na yeye mtajwa, umri wenye manufaa Na afya njema in sha Allah
Sent from my ATU-L21 using JamiiForums mobile app
Sakayo kweliii...kabisaa?waniuliza Leo.kweli ulivurugwa that night...[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]daahh!!Hahaha hahaha
Kweli kabisaaa ndo nakumbuka aki, ulifika salama eehh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaahaaa...hahaa..hv wajua mtu ukimbembeleza ndo kilio kinazidii!!Siku ingine usirudie!!!la sivyo akilia nawe lia! Atanyamaza!Acha kunibebesha lawama jamani we nimekubembeleza sana nimekufuta machozi
Hahaaaahaaa...ulitaka akubebe!![emoji23][emoji2][emoji1][emoji1]au na yeye alie sasa si ungekua msibaaa!!!