Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaaahaaa!!ulijishaua eeehh!!!Hahhaha sakayo alinisumbua nimeamka nakuta text zake namjibu asubuhi ananiambia kwahiyo ndio umetususia mathread eenh sisi tumekesha we unalala tu ebu amka twende jf uko
Hahhaha sio kujishaua sijui kama jf watu wamekesha na kufungua thread
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwa hyo ulikua hujui km jf wana bday wishes...!!!halafu wewe una visaaaHahhaha sio kujishaua sijui kama jf watu wamekesha na kufungua thread
Hahhaha kweli jamani nilikua sijui hata yaan bila sakayo mausumbufu yake nisingejua chochote[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwa hyo ulikua hujui km jf wana bday wishes...!!!halafu wewe una visaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana dada akee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupendaHappy birthday mwanakwetu Shunie[emoji7][emoji7]
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Hahhaha kweli jamani nilikua sijui hata yaan bila sakayo mausumbufu yake nisingejua chochote
[emoji2][emoji2][emoji2]ushakua mzimu tena..hautishii!!!Weeeeh danganya nikutokee ukilala
Halafu huwezi amini hata mpango wa kuingia jf sasa nilikua sina
Sikutishi we haya njo na kuzidisha kwako masifuri
Asante sana supermarket [emoji8][emoji8][emoji8]
Thanks babe [emoji120][emoji120][emoji120]
Thanks so much hunie [emoji8][emoji8]Hbd Beauty
Nazidisha na hutokei kokote aliyekufa kafaaa...[emoji3]Sikutishi we haya njo na kuzidisha kwako masifuri
Mavi yakoooo!!!wewee....[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1]Halafu huwezi amini hata mpango wa kuingia jf sasa nilikua sina
Hahhaha jidanganye mama eeenh nikutokee na manguo yangu meupe