Happy Birthday Shunie......!!!!

Okee Okee

1. Kula
2. Kulala
3. Kusafiri
4. Kusoma
5. Kusikiliza miziki
6. Kuimba
7. Kuangalia movies
8. Kucheza
9. Kuangalia mpira
10. Kufanya tahajudi (meditation)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya weka nawe yako hapa
Weka top ten yako na mimi nitaweka top ten yangu. Tunaendelea kumuaibisha shetani [emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ulisema ipo mwishoni mwa top ten yako, sasa hivi hata kuisoma sijaisoma....haha Karma umefeli!
 
Huyu alinitelekeza, sikuku ilivyoisha ndio akarudi. Yule anko wako sasa ndio wa ukweli, shida zangu za kiroho,kimwili na kiuchumi alikuwa anamaliza zooote. Huyu mpare maneno tuuuu[emoji134][emoji134][emoji134]
Huyo anko ni nani jamani nmsalimie mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…