[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie siwaelewi kabisaa jamani dear!
Wasiwasi wa nini?Usiende, hata hivyo huko Idodomya nina wasiwasi sana.
Ebu nikumbushe basi au mdakachozi aliyepotea jamani sijamuona mwaka sasaAintie usijifanye huna macho.
Hata kama hupendi, unapenda
Hahhaha halafu kapo sehemu mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaugonjwa kanaambukiza haka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemiss uchizi wake
Sijakiona auntie sijui nakwama wapi wamasai hawanitongozi hata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una nini lakini? We ulishakiona?
Nafarijika sana mdogo wangu.Hahahahaha
Ila mimi nakupenda sana kaka
Ulisema ipo mwishoni mwa top ten yako, sasa hivi hata kuisoma sijaisoma....haha Karma umefeli!
Mimi ndo memwambia auntie...Tulipanga na kaka Watu8 iwe siri tukufanyie surprise ila Jael kaharibu,, auntie yako ana kiherehere ka mke wa balozi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...Sasa jamani nyie wanaume nioneeni huruma na miaka hii 40 hata mume sina atokee basi wa kunionea huruma aniwowe na mimi nichezewe kwaito [emoji134][emoji134][emoji134]
Ndiwoooooo nataka kuwolewa umri ndio huo unazama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha
Kwani mimi sijui vitamu eeehhh, naona mnasema vingozi