Happy Birthday Shunie......!!!!

Happy Birthday Shunie......!!!!

Naona humu ndani kila mtu mzee wa miaka 40,, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] haina neno kama siku hizi uzee mtu anajitunuku tu basi hata mie kuanzia leo najitunuku uzee wa miaka 42.. [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] tena hata hiyo naona kama hainitoshi ngoja kesho nitaongeza mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha we!! Muite na yule mtoto mwenzio mjiongezee.
 
Back
Top Bottom