[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani alikudanganya eti jamani
Njoo nikupe kazi. Kuna nguo za kufua hapa.
Ile ulipeleka chumbani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi si uliaga keki anayo sakayo
PoleeeeeHahaha nilianza kwa kusema nina miaka 42 watu wakawa wanaamini mwisho wa siku wanakuja kunifahamu wanakuta nina miaka 22 wanaanza kushangaa ni wewe kweli mwenye mineno yote ile kule JF nawaambia ni mimi,, sasa mwisho wa siku nikaona isiwe taabu acha niseme tu umri wangu halisi ili kusudi tukifahamiana tusishangaane tena..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu na mimi kesho nawaambia kabisaa nahitaji mizawadi kama yote😄😄😄Kitoto kichoyo hiki.
Sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaona sasa mambo ya wabongo haya??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sikumbuki jamani, kwani tunazungumzia nini eti jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwaacheee
Nani sasa?Kuna mtu anaibiwa hapa
Kwa hiyo unayo mingapi? Ninong'oneze mimi tuHahaha nilianza kwa kusema nina miaka 42 watu wakawa wanaamini mwisho wa siku wanakuja kunifahamu wanakuta nina miaka 22 wanaanza kushangaa ni wewe kweli mwenye mineno yote ile kule JF nawaambia ni mimi,, sasa mwisho wa siku nikaona isiwe taabu acha niseme tu umri wangu halisi ili kusudi tukifahamiana tusishangaane tena..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huh!! Basi namimi yangu keshokutwa.Yangu na mimi kesho nawaambia kabisaa nahitaji mizawadi kama yote[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aimen aimennnHappy birthday rafiki yake Sakayo, kwa jina waitwa Shunie. Mungu akupe miaka mingi na afya njema.
Sent using Jamii Forums mobile app