Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Asante sana mkuu ubarikiwe mnoo jamaniHappy birthday rafiki yake Sakayo, kwa jina waitwa Shunie. Mungu akupe miaka mingi na afya njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu ubarikiwe mnoo jamaniHappy birthday rafiki yake Sakayo, kwa jina waitwa Shunie. Mungu akupe miaka mingi na afya njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha ipi hiyoIle ulipeleka chumbani.
Nini?
Hahahahah yeye kakazana na 22[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ungesema uko na 28, halafu iwe haiongezeki kila mwaka
Nami besdei yangu, nishatuma namba pm.
Kumbe zipo nyingi? Nimeghairi kulala.Hahahha ipi hiyo
Hahhahah nitakutumiaNashangaa sioni risiti
Mbona hufungui uzi jamani, usisahau kuambatanisha na namba ya miamala.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Voda ya zamani 😄😄😄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie bwanaNami besdei yangu, nishatuma namba pm.
Useme birthday gelo ana miaka 19 tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko na ufala mob sanaa akii
Hahahha auntie bwanaKumbe zipo nyingi? Nimeghairi kulala.