Happy Birthday Shunie......!!!!

Napitwa na mengi sana,hadi bday ya my ex mkwe imenipita hivi hivi,happy belated bday mkwe [emoji324][emoji322]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana huwa anakununia
Mambo mengi mpaka muda mwingine nakua napita juu kwa juu tu humu,nishamzoea mwenyewe mkwe wangu wa kununa nuna [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shauri yakooo
Haya naomba zawadi basi utume kwa tigo pesa kwa mkweo wa kununa nuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…