Kwani unaumwa mdogo wangu? Sidhani kama Xmas hii utaumwa, huwezi kuumwa hata kidogo.Naumia mimi jamani kaka, usiseme hivyo jamani!!
Hivi ushauliza kama sijambo mimi jamani!! Kula na kunywa tutakula tuu jamani kaka, sio lazima iwe Christmas jamani!
Sasa unabisha nini kwamba jamaa anatusaidia kila jambo? Ilà we kabishiii...Mie mwenyewe nimeyaacha yajipambanie yenyewe, yasinichoshe.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Sasa unabisha nini kwamba jamaa anatusaidia kila jambo? Ilà we kabishiii...
Hahahaha, sawa sawa Dada mkubwaZawadi zote zipite kwangu nizikague!!
Ilà mimi nakupenda![emoji8][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Nimekununia.
Unaumwa mawazo? Hivi jamaa hajaweza kukutuliza mawazo? Ngoja nimpandie hewani.Naumwa mawazo kaka jamani!
Sijaona hata Christmas mimi, tatizo huwa huniaminii mimi jamani!
Sitaki.Ilà mimi nakupenda![emoji8]
Hapo ndio napata fursa ya kukubembeleza honey.Sitaki.
..watu na fani zetu mdogo wangu..[emoji23]Woyoooo
Sipendi kuona mdogo wangu anaumizwa hata kidogo.Hahahahaha
Yaani kaka jamani!! Achana naye huyo kabisaa jamani kaka!