ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwani unaumwa mdogo wangu? Sidhani kama Xmas hii utaumwa, huwezi kuumwa hata kidogo.Naumia mimi jamani kaka, usiseme hivyo jamani!!
Hivi ushauliza kama sijambo mimi jamani!! Kula na kunywa tutakula tuu jamani kaka, sio lazima iwe Christmas jamani!