Happy Birthday Shunie......!!!!

Happy Birthday Shunie......!!!!

Huku si huwa tunajifanya tunapanga budget yetu tu,, ila kiukweli tuko kama wanne hivi wawili tulitaka tuwafanyie surprise ila mmoja ndiyo wewe umejua leo mwingine hajajua..

Ila huu uongo hata mimi sijui nimeuanza lini yaani shetani ananitafuta kwa lazima wallah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Daaahhh....mnaenda lini eti jamani
 
Back
Top Bottom