ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Likizo tym! Tumechoka kukaa guest houses.Dah uzi upo speed sana, hebu ngoja kwanza nitarejea baadaye...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likizo tym! Tumechoka kukaa guest houses.Dah uzi upo speed sana, hebu ngoja kwanza nitarejea baadaye...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi tutaenda wote jamani dada
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Salio lako jipya ni TSh 861,356. Umetuma pesa kwa Wakala - DAT Investment, kiasi TSh 100,000., Ada TSh 2,700. VAT TSh 412. Kumbukumbu No.: 27/12/19 14:49
Kama ulinidanganya namba ya wakala imekula mazima , Happy Birthday
MTC | 101| [emoji769]
MmmhhhSalio lako jipya ni TSh 861,356. Umetuma pesa kwa Wakala - DAT Investment, kiasi TSh 100,000., Ada TSh 2,700. VAT TSh 412. Kumbukumbu No.: 27/12/19 14:49
Kama ulinidanganya namba ya wakala imekula mazima , Happy Birthday
MTC | 101| [emoji769]
Ubarikiwe sana mdogo wangu...Tutakuwa tunasoma wote kaka
NdioKwani uko porini?!
Umenichekesha au niseme Nimecheka sana. Eda imeisha? Isiwe jamaa anavutia muda.Hahahah
Wewe huoni navyo chekacheka jamani
Kuna kazi napambana nayo hapa [emoji73]...otherwise nisingeacha wewe hapa alone...[emoji131]Unaenda wapi eti jamani [emoji1780]