Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Acha kabisa dear tena usiombe upitie chochote kigumu unabaki kulia tu unabaki kusema mama angekuwepo mama angekuepoAsante Shunie, ni kweli hayazoeleki.
Unajikuta kila ukigusa kitu unamkumbuka. Ni Giza tororo kila siku.